Kutokana na wanafunzi wengi kutofanya vizuri katika mtihani wa kidato cha nne mwaka 2012 serikali imeingilia kati suala hili na kurema kua mtihani urudiwe upya kusahihishwa kwani ni aibu kubwa ya matokeo hayo Tanzania kwa ujumla.
Swali ni je wale walio faulu mwanzo wakati wa haya matokeo mapya wakifeli itakuaje? Toa maoni yako leo.

Advertisements