Ili uweze kutumia internet bure kwa simu au PC bure fuata hatua zifuatazo:

KWA COMPUTER (PC) FUATA HATUA ZIFUATAZO:-

Step 1: shusha (Download) program inayoitwa cproxy  http://cproxy.com/download/cpsetup.exe  ukimaliza ku download uta install kwenye PC yako.

Step  2 : ifungue cproxy yako halafu utaona sehemu iloandikwa server katika hiyo  server tumia network zilizomalizia na 53 tu  nyingine achana nazo kwa mfano kama hii hapa Manassas-US,UDP:53  ukimaliza kufanya hivyo Apply halafu  OK.

Hapo utaanza kufurahia Internet yako bila malipo.

Ikiwa haijakubali kutumika, rudi kwenye cproxy yako ifungue utaona sehemu imeandikwa Automatic setup ibonyeze halafu bonyeza tena neno Restore default settings halafu rudia maelezo yaliopo katika step ya 2,utafurahia internet yako FREE!!!

KWA SIMU YA MKONONI FUATA HATUA ZIFUATAZO:-

1. Unatakiwa utengeneze access
point, Ntatoa maelekezo kwa
wale wenye nokia smartphone(SYMBIAN) click menu then tools then
setting then connection then
access point>>create new access point, connectiom name iite jina unalotaka, access point andika INTERNET then click option
halafu advanced utaona kuna ip,
dns na proxy server,bonyeza
proxy sever Eka proxy hii hapa 31.193.139.10
na port eka 80
halafu kafungue  web
kwenye adress andika
wap.zantel.com bofya utaona
unafunguka mtandao wa circle brain halafu utaona
eneo la kueka adress eka adress yoyote eg. https://zenjtzforums.wordpress.com
ukimaliza hivyo utafurahia Internet yako FREE!!!

 

Advertisements